Kanuni za Roulette: Maelekezo ya Hatua kwa Hatua
Mwongozo wa roulette unatakiwa kuwaelimisha wachezaji wanaojifunza na kuwasaidia kujua kila kitu wanachohitaji kujua kuhusu mchezo huu. Kuhusu jambo hili, mwongozo wetu wa roulette utalenga kwa undani kwenye kanuni za mchezo, muundo na matokeo yanayoweza kutokea. Tumeelezea aina mbalimbali za dau pamoja na aina nyingi maarufu za jinsi ya kucheza mchezo huu zilizopo. Utaweza kujua mengi kuhusu namna mchezo wa roulette unavyochezwa hatua kwa hatua kwa kupitia mwongozo wetu wa roulette na utajifunza kila kitu unachotaka kujua kuhusu mchezo huu.


Kuanza mchezo wa roulette, unachohitaji ni kuamua saizi ya dau lako. Lakini kabla hujafanya hivyo, inabidi uangalie vibao. Kila mchezo wa roulette ni wa kipekee na thamani ya kibao huoneshwa tofauti, lakini kwa kawaida ni kiasi kati ya 1 na 100, isipokuwa, kwa mfano, kwenye VIP roulette. Utakapochagua thamani ya vibao vyako, unaweza kufanya mabadiliko ya saizi ya dau lako kwa kuweka vibao zaidi au pungufu. Utakapomaliza kuweka dau lako, mchezeshaji atazungusha gurudumu.
Nyoofu – Dau nyoofu ni dau ambalo unaweka kwenye namba moja tu kwenye meza ya roulette.
Safuwima – Unaweza kuchagua na kuweka dau kwenye moja ya safuwima zilizopo.
Pasua – Dau la pasua linawekwa kwenye namba mbili tofauti ili kucheza zote.
Dazani – Unaweka dau kwenye dazani za namba.
Mtaa – Dau la mtaa ni dau linawekwa kwenye namba tatu zinazofuatana na inachukuliwa umeshinda kama moja ya hizo namba tatu zitatokea kwenye gurudumu.
Witiri/Shufwa – Dau la Witiri/Shufwa ni dau ambalo linawekwa kwenye namba witiri (1,3, 5) au shufwa (2,4,6) zitakazotokea.
Kona – Kama ukiweka dau kwenye kona, unaweka dau kwenye namba nne kwa wakati mmoja.
Nyekundu/Nyeusi – Dau linawekwa kwenye namba nyekundu au nyeusi zitakazotokea. Haijalishi ni namba gani imewekwa kwenye dau maadamu ipo kwenye rangi sahihi.
Mstari – Dau la mstari inakuwezesha kucheza safu mbili za kwenye kila mistari mitatu.
Juu/Chini – Kwenye dau la juu au chini unaweka dau kwenye namba kutoka 1-18 au kutoka 18-36 ikizingatiwa ni ya juu au chini.

Baada ya dau zote kuwekwa, hatua inayofuata ni kumwachia mchezeshaji azungushe gurudumu. Wachezaji wanatakiwa kumsikiliza mchezeshaji kwasababu atatangaza pale ambapo dau haziwezi kuwekwa tena na kitachosalia ni wewe kusubiri matokeo ya gurudumu lililozungushwa.

Kuna matokeo mbalimbali ambayo unaweza ukayatarajia pale utakapokuwa unacheza roulette. Sanasana, unaweza ukashinda au ukashindwa. Mchezeshaji au programu elektroniki ya mchezo itatangaza pale ambapo matokeo yatakuwa yamepatikana. Baadhi ya michezo inaweza kutofautiana kidogo katika matokeo. Tutagusia hilo sasa hivi.
Kwa ufupi, licha ya kushinda au kushindwa dau kwa wazi, unaweza kupata matokeo ya tatu ambayo yanapatikana katika aina maalum ya mchezo pekee yake. Mchezo wa roulette unaisha pale ambapo umemaliza pesa zako au umeamua kwamba mchezo hauna burudani tena na unataka kupumzika.
Aina Tofauti za Roulette: Ni Michezo gani Ipo?






Kuna aina tatu kuu tofauti za mchezo na kila mmoja unasisimua vya kutosha kukufanya uupende papo hapo. Tutaelezea ambazo ni lazima uzijue, na ambazo ni vielelezoasili vikuu vilivyotumiwa na michezo ya aina mpya.
- Ya kwanza, kuna Roulette ya Ulaya. Huu mchezo una sifuri moja na unachukuliwa kuwa ndio aina maarufu ya mchezo ambao aina nyingine mpya zimetengenezwa.
- Roulette ya Kimarekani ni mchezo tofauti kidogo ambapo unakuwa na sifuri mbili. Hii inanufaisha casino kwasababu uwezekano wa kushinda unapungua ukiwa na dau kwenye sifuri 2 za ziada, lakini pia inatengeneza fursa ya kuweka aina mpya ya dau.
- Ya tatu, kuna inayoitwa Roulette ya Kifaransa na ni aina nzuri sana ya kujaribu. Hapa, kuna kanuni ya La Partage, ambayo inarudisha nusu ya fedha zako kama mpira ukiangukia kwenye 0 na kama uliweka dau la Witiri/Shufwa. Kanuni ya En Prison inafanya kazi kama aina hii, lakini wakati huu huwezi kudai nusu ya pesa yako, bali thamani lote la dau lako. Kanuni ya La Partage ni kawaida kwa Roulette ya Kifaransa, lakini kwa En Prison, inabidi utafute kidogo.
FAQs
Hapana, mchezeshaji hana uwezo wa kushawishi matokeo yatakayotokea. Hii inatokana na ulinganifu makini wa gurudumu ambalo zinazunguka katika spidi maalum na inawezesha kupatikana kwa matokeo mchanganyiko kwenye kila mzunguko. Haiwezekani mtu kushawishi matokeo ya mzunguko wa roulette.
Hakuna namba maalum za dau ambazo unaweza kuweka. Wachezaji wanaruhusiwa kuweka dau ambazo wanahisi zinaafiki mbinu zao. Casino hawawezi kuweka kikomo cha namba maalum amabazo unaweza kuweka dau lako, lakini unaweza ukakuta kuna kikomo maalum cha meza kulingana na saizi la dau.
Hapana, kasino yenye sifa haiwezi kulaghai wateja. Lakini kuhakikisha wewe sio mhanga wa kasino laghai, unashauriwa ucheze kwenye kasino zilizopendekezwa na zenye leseni.
Kasino zingine zinaweza kukuambia uache kwasababu watahisi unatumia mbinu za aina ya juu. Cha kufanya ni usirudie michezo yako mara nyingi sana na ubadilishe mbinu zako mara kwa mara. Hakika, kasino bora ni ambayo hali hii haina uwezekano mkubwa wa kutokea.
Ndio, kila meza ya roulette ina kikomo chake. Hii ni amri inayowekwa na kasino ambayo inaamua kikomo cha kila michezo yake ya roulette. Baadhi wataweka cha chini na wengine wataweka cha juu kidogo. Vyovyote vile, kuna vikomo ambavyo unatakiwa kuvitilia maanani.